Exodus 22:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usikawie kunitolea sehemu yangu kutokana na wingi wa mazao yako na divai yako. Mtanipa wazaliwa wenu wa kwanza wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala lako au mapipa yako. “Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usikawie kuleta malimbuko ya matunda yako na ya vinywaji vyako. Mzaliwa wa kwanza katika wanao waume utanipa mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usikawie kunitolea sehemu yangu kutokana na wingi wa mazao yako na divai yako. Mtanipa wazaliwa wenu wa kwanza wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala zako au mapipa yako. “Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala lako au mapipa yako. “Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usikawie kuleta malimbuko ya matunda yako na ya vinywaji vyako. Mzaliwa wa kwanza katika wanao wakiume utanipa mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usikawie kunitolea sehemu yangu kutokana na wingi wa mazao yako na divai yako. Mtanipa wazaliwa wenu wa kwanza wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usikawilie kutoa malimbuko ya vilaji vyako vingi na ya vinywaji vyako! Naye mwanao wa kwanza unipe, awe wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usikawie kuleta malimbuko ya matunda yako na ya vinywaji vyako. Mzaliwa wa kwanza katika wanao waume utanipa mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafanya vile vile juu ya wazaliwa wa kwanza wa ngombe na kondoo wenu. Mutamwacha kila muzaliwa wa kwanza na mama yake kwa siku saba na siku ya nane mutanitolea.