Exodus 22:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafanya vivyo hivyo kuhusu wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu. Mtamwacha kila mzaliwa wa kwanza na mama yake kwa siku saba, na siku ya nane mtanitolea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ufanye vivyo hivyo kwa ng’ombe wako na kwa kondoo wako. Waache wakae na mama zao kwa siku saba, lakini siku ya nane unipe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utafanya vivyo katika ng'ombe zako, na kondoo zako; utamwacha siku saba pamoja na mama yake; siku ya nane utanipa mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafanya vivyo hivyo kuhusu wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu. Mtamwacha kila mzaliwa wa kwanza na mama yake kwa siku saba, na siku ya nane mtanitolea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ufanye vivyo hivyo kwa ng'ombe wako na kwa kondoo wako. Waache wakae na mama zao kwa siku saba, lakini siku ya nane unipe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ufanye vivyo hivyo kwa ng’ombe wako na kwa kondoo wako. Waache wakae na mama zao kwa siku saba, lakini siku ya nane unipe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utafanya vivyo hivyo katika ng'ombe wako, na kondoo wako; utamwacha siku saba pamoja na mama yake; siku ya nane utanipa mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafanya vivyo hivyo kuhusu wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu. Mtamwacha kila mzaliwa wa kwanza na mama yake kwa siku saba, na siku ya nane mtanitolea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vivyo hivyo sharti uvifanye hata kwa ng'ombe wako na kwa mbuzi na kondoo wako: wana wao wa kwanza na wakae na mama zao siku saba, siku ya nane uwatoe kunipa mimi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utafanya vivyo katika ng’ombe zako, na kondoo zako; utamwacha siku saba pamoja na mama yake; siku ya nane utanipa mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mutakuwa watu waliotakaswa kwa ajili yangu. Kwa hiyo hamutakula nyama ya nyama aliyeuawa na nyama wa pori. Nyama hiyo mutaitupia imbwa.