Exodus 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akimwachia mwenzake fedha au mali nyingine amtunzie, kisha ikaibiwa nyumbani mwake, mwizi akipatikana lazima alipe thamani yake mara mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akimpa jirani yake fedha au mali nyingine amtunzie, vitu vile vikiibwa kutoka nyumba ya huyo jirani, kama mwizi akishikwa, lazima alipe mara mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akimpa mwenziwe amana ya fedha au vitu vingine amtunzie, na vitu vile vikaibwa katika nyumba ya mtu huyo; mwivi akipatikana, atalipa thamani yake mara mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akimwachia mwenzake fedha au mali nyingine amtunzie, kisha ikaibiwa nyumbani mwake, mwizi akipatikana lazima alipe thamani yake mara mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akimpa jirani yake fedha au mali nyingine amtunzie, na kama vikiibwa kutoka katika nyumba ya huyo jirani, kama mwizi atashikwa, lazima alipe mara mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akimpa jirani yake fedha au mali nyingine amtunzie, na kama vikiibwa kutoka nyumba ya huyo jirani, kama mwizi atashikwa, lazima alipe mara mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akimpa mwenziwe amana ya fedha au vitu vingine amtunzie, na vitu vile vikaibwa katika nyumba ya mtu huyo; mwizi akipatikana, atalipa thamani yake mara mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akimwachia mwenzake fedha au mali nyingine amtunzie, kisha ikaibiwa nyumbani mwake, mwizi akipatikana lazima alipe thamani yake mara mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimpa mwenzake fedha au vyombo, amwekee, navyo vikiibiwa nyumbani mwa mwenzake, mwizi akionekana, sharti avilipe mara mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akimpa mwenziwe amana ya fedha au vitu vingine amtunzie, na vitu vile vikaibwa katika nyumba ya mtu huyo; mwivi akipatikana, atalipa thamani yake mara mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mwizi asipopatikana, mwenye nyumba atakaribia mbele ya Mungu kwa kuhakikisha kwamba yeye hakuiba mali ya mwenzake.