Exodus 23:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele zangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara tatu katika mwaka watu waume wako wote watahudhuria mbele ya Bwana MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele zangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara tatu katika mwaka wana wako wa kiume wote watahudhuria mbele ya Bwana MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele zangu mimi Bwana Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mwaka mara tatu waume wako wote sharti watokee mbele ya Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara tatu katika mwaka watu waume wako wote watahudhuria mbele ya Bwana MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakusanyika mbele ya Bwana wenu, Yawe.