Exodus 23:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala usiyaache mafuta ya sikukuu yangu yabaki mpaka asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu. “Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe hadi asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usisongeze damu ya dhabihu zangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala mafuta ya sikukuu yangu usiyaache kusalia hata asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala usiyaache mafuta ya sikukuu yangu yabaki mpaka asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu cho chote kilicho na chachu. “Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu. “Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usinitolee damu ya dhabihu zangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala mafuta ya sikukuu yangu usiyaache kusalia hadi asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala usiyaache mafuta ya sikukuu yangu yabaki mpaka asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Damu za ng'ombe zangu za tambiko usizitoe pamoja na mikate iliyochachwa! Wala mafuta ya sikukuu yangu yasilale usiku kucha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usisongeze damu ya dhabihu zangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala mafuta ya sikukuu yangu usiyaache kusalia hata asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usinitolee damu ya sadaka yangu pamoja na mukate uliotiwa chachu, wala usiyaache mafuta ya sikukuu yangu yabaki mpaka asubui.