Exodus 23:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utaleta malimbuko bora ya ardhi yako katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ya kwanza ya malimbuko ya nchi yako utayaleta na kuyatia ndani ya nyumba ya Bwana, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utaleta malimbuko bora ya ardhi yako katika nyumba ya BWANA Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi kwa kutumia maziwa ya mama yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utaleta malimbuko bora ya ardhi yako katika nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wako. “Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ya kwanza ya malimbuko ya nchi yako utayaleta na kuyatia ndani ya nyumba ya BWANA, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malimbuko ya kwanza ya shamba lako sharti uyapeleke Nyumbani mwa Bwana Mungu wako! Kitoto cha mbuzi usikipike katika maziwa ya mama yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ya kwanza ya malimbuko ya nchi yako utayaleta na kuyatia ndani ya nyumba ya BWANA, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mazao ya kwanza ya shamba lako utayaleta katika nyumba yangu mimi Yawe, Mungu wako. Usipike mwana-kondoo au mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.