Exodus 23:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuyaondoa magonjwa kati yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utamwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuyaondoa magonjwa kati yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utamwabudu BWANA Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utamwabudu bwana Mwenyezi Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chenu, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuyaondoa magonjwa kati yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumikieni Bwana Mungu wenu! Ndipo, atakapokibariki chakula chako na maji yako, hata magonjwa yote nitayaondoa kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutanitumikia mimi Yawe, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuondoa magonjwa kati yenu.