Exodus 23:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitapeleka kitisho mbele yenu na kuwavuruga watu wote mtakaowakabili, na adui zenu nitawafanya wageuke na kuwakimbia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitapeleka utisho wangu mbele yako na kufadhaisha kila taifa utakalolifikia. Nitafanya adui zako wote wakupe kisogo na kukimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikilia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitapeleka kitisho mbele yenu na kuwavuruga watu wote mtakaowakabili, na adui zenu nitawafanya wageuke na kuwakimbia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitapeleka utisho wangu mbele yako na kufadhaisha kila taifa utakalolifikia. Nitafanya adui zako wote wakupe kisogo na kukimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitapeleka utisho wangu mbele yako na kufadhaisha kila taifa utakalolifikia. Nitafanya adui zako wote wakupe kisogo na kukimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitapeleka kitisho mbele yenu na kuwavuruga watu wote mtakaowakabili, na adui zenu nitawafanya wageuke na kuwakimbia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbele yako nitayatanguliza mastusho yangu ya kuzimiza roho za watu wote, utakaowafikia; hivyo nitafanya adui zako wote wakuonyeshe visogo vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikilia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitapeleka kitisho mbele yenu na kuwavuruga watu wote mutakaowafikia. Waadui zenu nitawafanya wageuke na kuwakimbia.