Exodus 23:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitapeleka manyigu mbele yenu ambao watawafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatanguliza nyigu mbele yako kuwafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti waondoke njiani mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitapeleka manyigu mbele yenu ambao watawafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatanguliza manyigu mbele yako kuwafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti waondoke njiani mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatanguliza manyigu mbele yako kuwafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti waondoke njiani mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitapeleka manyigu mbele yenu ambao watawafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatanguliza mavu mbele yako, niwafukuze Wahiwi na Wakanaani na Wahiti mbele yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatuma nyuki mbele yenu ambazo zitawafukuza Wahivi, Wakanana na Wahiti.