Exodus 23:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukimwona ng'ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukimwona ng'ombe wa adui yako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukikuta ng'ombe wa mchukivu wako au punda wake, akipotea, sharti umrudishe kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukimwona ng’ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimukuta ngombe au punda wa adui yako amepotea, utamurudishia mwenye naye.