Exodus 24:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na Mungu hakuwadhuru hao viongozi wa watu wa Israeli. Walimwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mungu hakuinua mkono wake dhidi ya hawa viongozi wa Waisraeli; walimwona Mungu, nao wakala na kunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na Mungu hakuwadhuru hao viongozi wa watu wa Israeli. Walimwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mungu hakuinua mkono wake dhidi ya hawa viongozi wa Waisraeli; walimwona Mungu, nao wakala na kunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mungu hakuinua mkono wake dhidi ya hawa viongozi wa Waisraeli; walimwona Mungu, nao wakala na kunywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na Mungu hakuwadhuru hao viongozi wa watu wa Israeli. Walimwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawa wateule wa wana wa isiraeli hakuwapatia kibaya cho chote kwa mkono wake, ila walikuwapo vivyo hivyo wakila, wakinywa, ijapo walikuwa wamemwona Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Mungu hakuwazuru wale viongozi wa watu wa Israeli. Walimwona Mungu, wakakula na kunywa.