Exodus 24:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose aliwaambia wale wazee, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Aroni na Huri wako pamoja nanyi; yeyote aliye na tatizo na awaendee wao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia wazee wa Israeli, “Tungojeni hapa hadi tutakapowarudia. Haruni na Huri wako pamoja nanyi, na kila aliye na shauri aweza kuwaendea wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na neno na awaendee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose aliwaambia wale wazee, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Aroni na Huri wako pamoja nanyi; yeyote aliye na tatizo na awaendee wao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaambia wazee wa Israeli, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Aroni na Huri wako pamoja nanyi, na kila aliye na neno aweza kuwaendea wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaambia wazee wa Israeli, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Haruni na Huri wako pamoja nanyi, na kila aliye na neno aweza kuwaendea wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na jambo na awaendee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose aliwaambia wale wazee, “Tungojeni hapa mpaka tutakapowarudia. Aroni na Huri wako pamoja nanyi; yeyote aliye na tatizo na awaendee wao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini wale wazee aliwaambia: Kaeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu! Tazameni, Haroni na Huri mnao! Mtu akiwa na neno, na aje kwao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na neno na awaendee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa aliwaambia wale wazee: Mutungojee hapa mpaka tutakapowarudilia. Haruni na Huri wako pamoja nanyi. Yeyote anayekuwa na tatizo awaendee wao.