Exodus 24:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulionekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mlima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Waisraeli utukufu wa Mwenyezi Mungu ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuonekana kwake ule utukufu wa Bwana kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulionekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mlima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa Waisraeli utukufu wa BWANA ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Waisraeli utukufu wa bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulionekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mlima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao utukufu wa Bwana ukaonekana machoni pao wana wa Isiraeli kuwa kama moto ulao huko juu mlimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wa Yawe ukaonekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mulima.