Exodus 24:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini Musa peke yake ndiye atakayemkaribia Mwenyezi Mungu; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Musa peke yake ndiye atakayekaribia karibu na Bwana; lakini hao hawatakaribia karibu; wala hao watu hawatakwea pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini Mose peke yake ndiye atakayemkaribia BWANA; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini Musa peke yake ndiye atakayemkaribia bwana; wengine wasije karibu. Nao watu wasije wakapanda pamoja naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Musa peke yake ndiye atakayekaribia karibu na BWANA; lakini hao hawatakaribia karibu; wala hao watu hawatakwea pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasije karibu, na Waisraeli wasipande mlimani pamoja nawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose na aende peke yake kufika kwake Bwana, lakini wale watu wengine wasifike karibu, wasipande naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Musa peke yake ndiye atakayekaribia karibu na BWANA; lakini hao hawatakaribia karibu; wala hao watu hawatakwea pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Musa peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini wengine wasikuje karibu na Waisraeli wasipande juu ya mulima pamoja nawe.