Exodus 24:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akaichukua ile damu na kuwanyunyizia watu, akisema, “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akachukua ile damu, akawanyunyizia wale watu, akasema, “Hii ni damu ya agano ambalo Mwenyezi Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akaitwaa ile damu, akawanyunyizia watu, akasema, Hii ndiyo damu ya agano alilolifanya Bwana pamoja nanyi katika maneno haya yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akaichukua ile damu na kuwanyunyizia watu, akisema, “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akachukua ile damu, akainyunyiza juu ya watu, akasema, “Hii ni damu ya Agano ambalo BWANA amefanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akachukua ile damu, akawanyunyizia wale watu, akasema, “Hii ni damu ya agano ambalo bwana amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akaitwaa ile damu, akawanyunyizia watu, akasema, Hii ndiyo damu ya agano alilolifanya BWANA pamoja nanyi katika maneno haya yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akaichukua ile damu na kuwanyunyizia watu, akisema, “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipozichukua zile damu, akawanyunyizia watu akisema: Tazameni! Hizi ni damu za Agano, Bwana alilolifanya nanyi na kuwaambia haya maneno yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akaitwaa ile damu, akawanyunyizia watu, akasema, Hii ndiyo damu ya agano alilolifanya BWANA pamoja nanyi katika maneno haya yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akatwaa ile damu na kuwanyunyizia watu, akisema: Hii ndiyo damu ya agano ambalo Yawe amefanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.