Exodus 25:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waisraeli watengeneze sanduku la mbao za mjohoro, lenye urefu wa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo sentimita 66.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, upana wa dhiraa moja na nusu, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao na wafanye sanduku la mti wa mshita; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waisraeli watengeneze sanduku la mbao za mjohoro, lenye urefu wa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo sentimita 66.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, upana dhiraa moja na nusu, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, upana wa dhiraa moja na nusu, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao na wafanye sanduku la mti wa mjohoro; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waisraeli watengeneze sanduku la mbao za mjohoro, lenye urefu wa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo sentimita 66.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tengenezeni sanduku la mbao za migunga, urefu wake uwe mikono miwili na nusu, nao upana wake uwe mkono mmoja na nusu, nao urefu wake wa kwenda juu uwe mkono mmoja na nusu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao na wafanye sanduku la mti wa mshita; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli watengeneze sanduku la mbao za mujohoro, lenye urefu wa sentimetre mia moja na kumi, upana sentimetre makumi sita na sita, na urefu kwenda juu sentimetre makumi sita na sita.