Exodus 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utalitengenezea pete nne na kuzitia miguuni pake, kila mguu pete moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utalisubu kwa pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe subu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, na kuvitia katika miguu yake minne; vikuku viwili upande mmoja, na vikuku viwili upande wake wa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utalitengenezea pete nne na kuzitia miguuni pake, kila mguu pete moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utalitengenezea pete nne za dhahabu na kuzifunga kwenye miguu yake minne, pete mbili upande mmoja na pete mbili upande mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utalisubu kwa pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe subu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, na kuvitia katika miguu yake minne; vikuku viwili upande mmoja, na vikuku viwili upande wake wa pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utalitengenezea pete nne na kuzitia miguuni pake, kila mguu pete moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena utengeneze mapete manne kwa kuyeyusha dhahabu, uyatie penye pembe zake nne, mapete mawili upande wake mmoja, tena mapete mawili upande wake wa pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe subu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, na kuvitia katika miguu yake minne; vikuku viwili upande mmoja, na vikuku viwili upande wake wa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utalitengenezea pete ine na kuzitia kwenye miguu yake, kila muguu pete moja.