Exodus 25:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mipiko hiyo utaipitisha katika pete zilizo pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe tia hiyo miti katika vile vikuku vilivyo katika pande mbili za sanduku ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mipiko hiyo utaipitisha katika pete zilizo pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaiingiza hiyo mipiko kwenye hizo pete zilizo katika pande mbili za hilo Sanduku ili kulibeba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe tia hiyo miti katika vile vikuku vilivyo katika pande mbili za sanduku ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mipiko hiyo utaipitisha katika pete zilizo pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha hiyo mipiko itie katika yale mapete pande zote mbili za sanduku, iwe ya kulichukulia hilo sanduku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe tia hiyo miti katika vile vikuku vilivyo katika pande mbili za sanduku ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miti ile utaipitisha katika pete zinazokuwa kwa pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibeba.