Exodus 25:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utatengeneza kwa dhahabu safi kiti cha rehema, urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utatengeneza kwa dhahabu safi kiti cha rehema, urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utatengeneza kwa dhahabu safi kiti cha rehema, urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze kifuniko cha dhahabu tupu kuwa Kiti cha Upozi, urefu wake uwe mikono miwili na nusu, nao upana wake uwe mkono mmoja na nusu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatengeneza kiti cha rehema cha zahabu safi, urefu wake sentimetre mia moja na kumi, na upana wake sentimetre makumi sita na sita.