Exodus 25:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza pia mfano wa viumbe hai viwili kwa kufua dhahabu, uviweke kwenye miisho miwili ya kiti hicho;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza pia mfano wa viumbe hai viwili kwa kufua dhahabu, uviweke kwenye miisho miwili ya kiti hicho;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza makerubi wawili kwa dhahabu iliyofuliwa kwenye miisho miwili ya hicho kifuniko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza pia mfano wa viumbe hai viwili kwa kufua dhahabu, uviweke kwenye miisho miwili ya kiti hicho;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze Makerubi mawili ya dhahabu, nayo uyatengeneze kwa kuzifuafua hizo dhahabu, uyaweke pande zote mbili za mwisho wa kifuniko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vilevile mufano wa makerubi wawili kwa kufua zahabu, uwaweke kwenye miisho miwili ya kiti kile;