Exodus 25:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kiumbe kimoja mwisho mmoja na kiumbe kingine mwisho mwingine. Viweke viumbe hivyo kwenye miisho ya kiti hicho, lakini viwe kitu kimoja na hicho kiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; watengeneze makerubi hao wawe kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi ya kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kiumbe kimoja mwisho mmoja na kiumbe kingine mwisho mwingine. Viweke viumbe hivyo kwenye miisho ya kiti hicho, lakini viwe kitu kimoja na hicho kiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; yatengeneze makerubi yawe kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; watengeneze makerubi hao wawe kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi yawe kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kiumbe kimoja mwisho mmoja na kiumbe kingine mwisho mwingine. Viweke viumbe hivyo kwenye miisho ya kiti hicho, lakini viwe kitu kimoja na hicho kiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kerubi moja uweke upande wa mwisho wa huku, nalo la pili upande wa mwisho wa huko. Hivyo myaweke hayo Makerubi pande zake zote mbili za mwisho wa kifuniko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi ya kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kerubi mumoja kwa mwisho mumoja na kerubi mwingine kwa mwisho mwingine. Uwaweke makerubi wale kwenye miisho ya kiti kile, lakini wakuwe kitu kimoja na kile kiti.