Exodus 25:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe hivyo vitaelekeana, mabawa yake yamekunjuka kukifunika kiti cha rehema; nyuso zake zitaelekea kiti hicho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makerubi hao watakuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, wakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao wataelekeana, wakitazama hicho kifuniko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hayo makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zitaelekea kiti cha rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe hivyo vitaelekeana, mabawa yake yamekunjuka kukifunika kiti cha rehema; nyuso zake zitaelekea kiti hicho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makerubi hao watakuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, yakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao wataelekeana, wakitazama hicho kifuniko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makerubi hao watakuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, yakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao wataelekeana, wakitazama hicho kifuniko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hayo makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zitaelekea kiti cha rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe hivyo vitaelekeana, mabawa yake yamekunjuka kukifunika kiti cha rehema; nyuso zake zitaelekea kiti hicho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo Mkerubi yawe yameyakunjua mabawa juu, yakifunike hicho kifuniko kwa mabaa yao, nazo nyuso zao ziwe zimeelekeana, hayo Mkerubi yakikitazama kifuniko kwa nyuso zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hayo makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zitaelekea kiti cha rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makerubi wale wataelekeana, mabawa yao yakikunjuka kukifunika kiti cha rehema. Nyuso zao zitaelekea kiti kile.