Exodus 25:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ifunike hiyo meza kwa dhahabu safi kisha uifanyie ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo uifunikize dhahabu tupu, kisha uzungushe juu yake taji la dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile meza utaipakaa zahabu safi na kuizungushia ukingo wa zahabu.