Exodus 25:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia kwenye pembe zake miguuni pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na uzifungie kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uifanyie vikuku vinne vya dhahabu, na kuvitia vile vikuku katika pembe zake nne, katika miguu yake minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia kwenye pembe zake miguuni pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, uzifungie kwenye pembe nne, kwenye miguu yake minne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na uzifungie kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uifanyie vikuku vinne vya dhahabu, na kuvitia vile vikuku katika pembe zake nne, katika miguu yake minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia kwenye pembe zake miguuni pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha itengenezee mapete manne ya dhahabu, nayo hayo mapete uyatie penye pembe zake nne zilizoko penye miguu yake minne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uifanyie vikuku vinne vya dhahabu, na kuvitia vile vikuku katika pembe zake nne, katika miguu yake minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaitengenezea pete ine za zahabu na kuzitia kwenye pembe zake kwenye miguu yake.