Exodus 25:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pete hizo zitakuwa karibu na ule ubao wa kuizunguka meza na zitakuwa za kushikilia mipiko ya kuibebea hiyo meza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pete hizo zitakuwa karibu na ukingo ule ili kuishikilia ile mipiko itakayotumika kuibebea hiyo meza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vile vikuku na viwe karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pete hizo zitakuwa karibu na ule ubao wa kuizunguka meza na zitakuwa za kushikilia mipiko ya kuibebea hiyo meza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pete hizo zitakuwa karibu na ukingo ule kushika ile mipiko ambayo ni ya kubebea hiyo meza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pete hizo zitakuwa karibu na ukingo ule ili kuishikilia ile mipiko itakayotumika kuibebea hiyo meza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vile vikuku na viwe karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pete hizo zitakuwa karibu na ule ubao wa kuizunguka meza na zitakuwa za kushikilia mipiko ya kuibebea hiyo meza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo mapete sharti yawe papo hapo chini ya kikingio, wapate kutia humo mipiko ya kuichukulia hiyo meza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vile vikuku na viwe karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pete hizo zitakuwa karibu na ule ubao wa kuzunguka meza na zitakuwa za kuingizia ile miti ya kubebea ile meza.