Exodus 25:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya ile miti ya mti wa mshita, na kuifunika dhahabu, kwamba ile meza ichukuliwe kwayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza mipiko ya mti wa mshita, uifunike dhahabu, hiyo mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya ile miti ya mti wa mshita, na kuifunika dhahabu, kwamba ile meza ichukuliwe kwayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza mipiko ya mjohoro na kuipaka dhahabu; mipiko itakuwa ya kuibebea hiyo meza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo mipiko uitengeneze nayo kwa migunga na kuifunikiza dhahabu, itumike ya kuichukulia hiyo meza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya ile miti ya mti wa mshita, na kuifunika dhahabu, kwamba ile meza ichukuliwe kwayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utachonga miti ya mujohoro na kuipakaa zahabu. Miti itakuwa ya kubebea ile meza.