Exodus 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utapokea matoleo yafuatayo: Dhahabu, fedha, shaba,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: “dhahabu, fedha na shaba;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii; dhahabu, na fedha, na shaba,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utapokea matoleo yafuatayo: dhahabu, fedha, shaba,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii; dhahabu, fedha na shaba,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utapokea matoleo yafuatayo: Dhahabu, fedha, shaba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vipaji vya tambiko, mtakavyowatoza, ni hivi: dhahabu na fedha na shaba,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii; dhahabu, na fedha, na shaba,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utapokea matoleo haya: zahabu, feza, shaba,