Exodus 25:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meza hiyo utaiweka mbele ya sanduku la agano, na juu ya meza hiyo utaiweka ile mikate ya kuwekwa mbele yangu daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaweka mikate ya Wonesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meza hiyo utaiweka mbele ya sanduku la agano, na juu ya meza hiyo utaiweka ile mikate ya kuwekwa mbele yangu daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaweka mikate Mitakatifu juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaweka mikate ya Wonyesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meza hiyo utaiweka mbele ya sanduku la agano, na juu ya meza hiyo utaiweka ile mikate ya kuwekwa mbele yangu daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo mezani sharti uweke pasipo kukoma mikate ya kuw usoni pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meza hiyo utaiweka mbele ya Sanduku la Agano na juu ya meza ile utaweka ile mikate muliyonitolea. Mikate ile itakuwa siku zote mbele yangu.