Exodus 25:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matawi sita yatatokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matawi sita yatatokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nacho kitakuwa na matawi sita yenye kutoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara upande wake mmoja, na matawi matatu ya kinara upande wake wa pili
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matawi sita yatatokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matawi sita yatatokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matawi sita yatatokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nacho kitakuwa na matawi sita yenye kutoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara upande wake mmoja, na matawi matatu ya kinara upande wake wa pili
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matawi sita yatatokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matawi sita na yatoke penye mbavu zake, matawi matatu ya kinara na yatoke penye ubavu mmoja, tena matawi matatu ya kinara na yatoke penye ubavu wa pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nacho kitakuwa na matawi sita yenye kutoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara upande wake mmoja, na matawi matatu ya kinara upande wake wa pili
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matawi sita yatatokeza kila upande wa muti wake, matawi matatu upande mumoja na matawi matatu upande mwingine.