Exodus 25:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya kinara chenyewe vitakuwa vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi, yakiwa na matovu yake na maua yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika hicho kinara vikombe vinne vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake, na maua yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya kinara chenyewe vitakuwepo vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na matovu yake na maua yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya kinara chenyewe vitakuwepo vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi yakiwa na matovu yake na maua yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika hicho kinara vikombe vinne vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake, na maua yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na katika ufito kutakuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini katika mti wa kinara viwe vikombe vinne vinavyofanana na maua ya mlozi, yaani vifundo pamoja na maua yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika hicho kinara vikombe vinne vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake, na maua yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika muti kutakuwa vikombe vine mufano wa maua ya lozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake.