Exodus 25:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mahali panapotokezea kila jozi ya matawi yale sita, chini yake patakuwa na kifundo kimojakimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tovu moja litakuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyotokeza kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani matawi sita kwa jumla.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, kwa hayo matawi sita yatokayo katika kile kinara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mahali panapotokezea kila jozi ya matawi yale sita, chini yake patakuwa na kifundo kimojakimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tovu moja litakuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyoanzia kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani matawi sita kwa jumla.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tovu moja litakuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyotokeza kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani matawi sita kwa jumla.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, kwa hayo matawi sita yatokayo katika kile kinara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mahali panapotokezea kila jozi ya matawi yale sita, chini yake patakuwa na kifundo kimojakimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kila mahali, matawi mawili yanapotoka katika huo mti wake, chini yake kiwe kifundo kimoja. Viwe vivyo hivyo kila mahali, matawi mawili yanapotoka. Nayo matawi yanayotoka katika kinara yawe sita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, na tovu chini ya matawi mawili la kitu kimoja nacho, kwa hayo matawi sita yatokayo katika kile kinara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kutakuwa kifundo kila pahali matawi mawilimawili yanapotokea kufuatana na yale matawi sita yanayotokea kwa kile kinara.