Exodus 25:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vifundo hivyo na matawi yake yatakuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kitafuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matovu yake na matawi yake yatakuwa ya kitu kimoja nacho; kiwe chote pia kazi moja ya kufua, ya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vifundo hivyo na matawi yake yatakuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kitafuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matovu na matawi yote yatakuwa ya kitu kimoja na kile kinara cha taa vyote vitafuliwa kutoka dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matovu yake na matawi yake yatakuwa ya kitu kimoja nacho; kiwe chote pia kazi moja ya kufua, ya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vifundo hivyo na matawi yake yatakuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kitafuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vifundo na matawi yao sharti yote yawe kazi moja iliyoyatokeza yote pamoja kwa kuifuafua dhahabu iyo hiyo moja, nayo yawe dhahabu tupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matovu yake na matawi yake yatakuwa ya kitu kimoja nacho; kiwe chote pia kazi moja ya kufua, ya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vifundo hivyo na matawi yake yatakuwa kitu kimoja na kinara kile na chote kitafuliwa kwa zahabu safi.