Exodus 25:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza pia taa saba kwa ajili ya kinara hicho na kuziweka juu yake ili ziangaze kwa mbele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza pia taa saba kwa ajili ya kinara hicho na kuziweka juu yake ili ziangaze kwa mbele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kisha tengeneza taa zake saba uziweke juu ya kinara hicho ili ziweze kuangaza mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza pia taa saba kwa ajili ya kinara hicho na kuziweka juu yake ili ziangaze kwa mbele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utengeneze taa zake saba, nazo hizo taa zake uziweke juu yake, zipaangaze mahala palipo mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vilevile taa saba kwa ajili ya kinara kile na kuziweka juu yake kusudi ziangaze kwa mbele.