Exodus 25:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tengeneza pia koleo zake na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tengeneza pia koleo zake na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vitu vya kusawazishia vya tambi na vyano, vitakuwa dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tengeneza pia koleo zake na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo koleo zake na makato yake yawe ya dhahabu tupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tengeneza vilevile koleo zake na visahani vyake kwa zahabu safi.