Exodus 25:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na hivi vifaa vyake vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatumia kilo thelathini na tano za dhahabu safi kutengeneza kinara hicho na vifaa vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti ukitengeneze pamoja na hivi vyombo vyake vyote kwa kipande cha dhahabu chenye uzito wa mizigo miwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatumia kilo makumi tatu na tano za zahabu safi kwa kutengeneza kinara kile na vifaa vyake.