Exodus 25:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu, kitani safi iliyosokotwa manyoya ya mbuzi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu, pamoja na kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na nguo za kitani safi, na singa za mbuzi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu, kitani safi iliyosokotwa manyoya ya mbuzi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, pamoja na nguo za kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu, pamoja na kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nyuzi rangi za buluu, zambarau na nyekundu, na nguo za kitani safi, na singa za mbuzi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu, kitani safi iliyosokotwa manyoya ya mbuzi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na nguo za bafta na nywele za mbuzi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na nguo za kitani safi, na singa za mbuzi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sufu ya samawi, ya zambarau na nyekundu, kitani safi iliyosokotwa na manyoya ya mbuzi;