Exodus 25:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakikisha kwamba umevitengeneza kwa mfano uliooneshwa kule mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano uliooneshwa kule mlimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, ulioonyeshwa mlimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakikisha kwamba umevitengeneza kwa mfano uliooneshwa kule mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na kile kielelezo ulichoonyeshwa kule mlimani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, uliooneshwa mlimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakikisha kwamba umevitengeneza kwa mfano uliooneshwa kule mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angalia, uyafanye yote kwa mfano, niliokuonyesha mlimani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, ulioonyeshwa mlimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakikisha kwamba umevitengeneza kwa mufano ulioonyeshwa kule juu ya mulima.