Exodus 25:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kuweka wakfu na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezo kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mafuta ya ile taa, na viungo vya manukato kwa yale mafuta ya kupaka, na kwa ule uvumba wenye harufu nzuri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kuweka wakfu na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mafuta ya mzeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya kupaka, na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mafuta ya ile taa, na viungo vya manukato kwa yale mafuta ya kupaka, na kwa ule uvumba wenye harufu nzuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kuweka wakfu na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mafuta ya taa, manukato ya kutengeneza mafuta ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mafuta ya ile taa, na viungo vya manukato kwa yale mafuta ya kupaka, na kwa ule uvumba wenye harufu nzuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupakaa na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri,