Exodus 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kizibau na kile kifuko cha kifuani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vito vya shohamu, na vito vingine vya kutiwa kwa ile naivera, na kwa kile kifuko cha kifuani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na vito vya shohamu na vito vingine vya kutiwa kwenye kile kisibau na kifuko cha kifuani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vito vya shohamu, na vito vingine vya kutiwa kwa ile naivera, na kwa kile kifuko cha kifuani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vito vya sardoniki, na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifuani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vito vya oniki na vito vingine vya kutia katika kisibau cha mtambikaji mkuu na katika kibati chake cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vito vya shohamu, na vito vingine vya kutiwa kwa ile naivera, na kwa kile kifuko cha kifuani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mawe ya sardoniki, na mawe mengine kwa ajili ya mapambo ya kizibao cha kuhani na kifuko cha kifua.