Exodus 25:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza hema hiyo na vifaa vyake kulingana na mfano nitakaokuonesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza Maskani hii na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sawasawa na haya yote nikuonyeshayo, mfano wa maskani, na mfano wa vyombo vyake vyote, ndivyo mtakavyovifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza hema hiyo na vifaa vyake kulingana na mfano nitakaokuonesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sawasawa na haya yote nikuoneshayo, mfano wa maskani, na mfano wa samani zake zote, ndivyo mtakavyovifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza hema hiyo na vifaa vyake kulingana na mfano nitakaokuonesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mfano, mimi nitakaokuonyesha wa hilo kao na wa vyombo vyake vyote, mvifanye vyote pia, viwe vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sawasawa na haya yote nikuonyeshayo, mfano wa maskani, na mfano wa vyombo vyake vyote, ndivyo mtakavyovifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza hema hiyo na vifaa vyake kulingana na mufano nitakaokuonyesha.