Exodus 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utafanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya tanzi hamsini upande wa mwisho wa pazia lile lililo la mwisho katika hayo yaliyounganywa pamoja, na tanzi hamsini upande wa mwisho wa lile pazia lililo nje katika hayo ya pili yaliyounganywa pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utafanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza vitanzi hamsini ukingoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini ukingoni mwa pazia la mwisho la kipande cha pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya matanzi hamsini upande wa mwisho wa pazia lile lililo la mwisho katika hayo yaliyounganishwa pamoja, na tanzi hamsini upande wa mwisho wa lile pazia lililo nje katika hayo ya pili yaliyounganishwa pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utafanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ushone vitanzi hamsini katika upande wa nje wa kila pazia moja hapo, litakapoungwa na jingine; vivyo hivyo uvitie napo penye upindo wa nje wa kila pazia la pili hapo, litakapoungwa nalo la kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya tanzi hamsini upande wa mwisho wa pazia lile lililo la mwisho katika hayo yaliyounganywa pamoja, na tanzi hamsini upande wa mwisho wa lile pazia lililo nje katika hayo ya pili yaliyounganywa pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utafanya kamba makumi tano kwenye upindo wa pazia la mwisho la kipande cha kwanza na kamba makumi tano kwenye upindo wa pazia la mwisho la kipande cha pili.