Exodus 26:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza kulabu hamsini za shaba na kuziingiza katika vile vitanzi hamsini ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha tengeneza vifungo hamsini vya shaba, uviingize katika vile vitanzi ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ufanye vifungo hamsini vya shaba, na kuvitia vile vifungo katika zile tanzi, na kuiunganya ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza kulabu hamsini za shaba na kuziingiza katika vile vitanzi hamsini ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha tengeneza kulabu hamsini za shaba, uziingize katika vile vitanzi hamsini ili kukaza Hema kuwa kitu kimoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha tengeneza vifungo hamsini vya shaba, uviingize katika vile vitanzi ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ufanye vifungo hamsini vya shaba, na kuvitia vile vifungo katika zile tanzi, na kuiunganisha ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza kulabu hamsini za shaba na kuziingiza katika vile vitanzi hamsini ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ufanye vifungo vya shaba hamsini, hivyo vifungo uvitie katika vitanzi, upate kuliunga hilo hema, liwe moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ufanye vifungo hamsini vya shaba, na kuvitia vile vifungo katika zile tanzi, na kuiunganya ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vifungio makumi tano vya shaba na kuviingiza katika zile kamba makuni tano kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.