Exodus 26:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia za hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaning’inizwa upande wa nyuma wa maskani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kipande kile kilichosalia, kile kiangukacho, cha yale mapazia ya hema, ile nusu ya pazia iliyosalia, itaanguka huko upande wa nyuma wa maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia la Hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaning'inizwa upande wa nyuma wa Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia la Hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaning’inizwa upande wa nyuma wa Hema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kipande kile kilichosalia, kile kiangukacho, cha yale mapazia ya hema, ile nusu ya pazia iliyosalia, itaanguka huko upande wa nyuma wa maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho kipande kitakachozidi cha mapazia ya hema cha kuangukia pembeni, hiyo nusu ya pazia itakayoangukia pembeni na iangukie upande wa nyuma wa kao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kipande kile kilichosalia, kile kiangukacho, cha yale mapazia ya hema, ile nusu ya pazia iliyosalia, itaanguka huko upande wa nyuma wa maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema.