Exodus 26:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ininginie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaning’inia pande zote za Maskani ili kuifunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo dhiraa moja upande mmoja, na ile dhiraa moja upande wa pili, ya urefu wa mapazia ya hema uliosalia, zitaanguka katika ubavu wa maskani upande huu na upande huu, ili kuifunika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ining'inie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaning'inia pande zote za Hema ili kuifunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaning’inia pande zote za Hema ili kuifunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo dhiraa moja upande mmoja, na ile dhiraa moja upande wa pili, ya urefu wa mapazia ya hema uliosalia, zitaanguka katika ubavu wa maskani upande huu na upande huu, ili kuifunika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nusu mita ya urefu wa mapazia iliyo ya ziada utaikunja ininginie pande zote mbavuni mwa hema ili kulifunika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao urefu wa mapazia ya hema utakaozidi ndio mkono mmoja huku na huko, basi, huo mkono na uangukie kila upande wa kao wa kulikingia pembeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo dhiraa moja upande mmoja, na ile dhiraa moja upande wa pili, ya urefu wa mapazia ya hema uliosalia, zitaanguka katika ubavu wa maskani upande huu na upande huu, ili kuifunika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nusu metre ya urefu wa mapazia iliyokuwa ya zaidi utaikunja ininginie pande zote kwenye mbavu ya hema kwa kulifunika.