Exodus 26:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utatengeneza pia kifuniko kingine cha hema kilichofanywa kwa ngozi laini ya kondoo dume na ngozi laini ya mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utatengeneza pia kifuniko kingine cha hema kilichofanywa kwa ngozi laini ya kondoo dume na ngozi laini ya mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza kifuniko cha Hema kwa ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, juu ya kifuniko hicho ufunike ngozi laini za wanyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utatengeneza pia kifuniko kingine cha hema kilichofanywa kwa ngozi laini ya kondoo dume na ngozi laini ya mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha sharti utengeneze chandalua cha hema kwa ngozi nyekundu za madume ya kondoo, tena utengeneze chandalua cha pili kwa ngozi za pomboo kuwa juu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza vilevile kifuniko kingine cha hema kilichofanywa kwa ngozi laini ya kondoo dume na ngozi laini ya mbuzi.