Exodus 26:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya hizo mbao za maskani za mti wa mshita, zenye kusimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tengeneza mihimili ya mti wa mshita kwa ajili ya Hema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya hizo mbao za maskani za mti wa mjohoro, zenye kusimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utatengeneza mbao za mjohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena utengeneze mbao za kao lenyewe za migunga, nazo zisimame.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya hizo mbao za maskani za mti wa mshita, zenye kusimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza mbao za mujohoro za kusimama wima kwa ajili ya hema.