Exodus 26:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya Maskani jinsi hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganywa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba. Tengeneza mihimili yote ya Hema jinsi hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila ubao mmoja uwe na vigerezi viwili, navyo vitazamane kila kimoja na mwenzake. Vivyo hivyo uvitengenezee kila ubao mmoja wa kao lenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganywa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Utazifanyia mbao zote ndimi mbili.