Exodus 26:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: Mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa Maskani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ufanye zile mbao za maskani, mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tengeneza mihimili ishirini ya upande wa kusini wa Hema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ufanye zile mbao za maskani, mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, utatengeneza hizo mbao za hema hivi: Mbao ishirini kwa ajili ya upande wa kusini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo mbao za kao lenyewe uzitengeneze kuwa ishirini upande wa kusini, ndio upande wa juani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ufanye zile mbao za maskani, mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, utatengeneza zile mbao za hema hivi: mbao makumi mbili kwa ajili ya upande wa kusini,