Exodus 26:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao ishirini, vikalio viwili chini kwa kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili na vikalio viwili viwe chini ya ubao mwingine ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ufanye matako arobaini ya fedha chini ya zile mbao ishirini, matako mawili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na matako mawili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao ishirini, vikalio viwili chini kwa kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili na vikalio viwili viwe chini ya ubao mwingine ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, moja chini ya kila ulimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ufanye vitako arobaini vya fedha chini ya zile mbao ishirini, vitako viwili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao ishirini, vikalio viwili chini kwa kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili na vikalio viwili viwe chini ya ubao mwingine ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena chini ya hizi mbao ishirini utengeneze viguu vya fedha arobaini, viwe viguu viwili chini ya kila ubao mmoja viguu viwili vya kivitilia vigerezi vyake viwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ufanye matako arobaini ya fedha chini ya zile mbao ishirini, matako mawili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na matako mawili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na vikalio makumi ine vya feza chini ya zile mbao makumi mbili, vikalio viwili chini kwa kila ubao kwa kushikilia zile ndimi zake mbili na vikalio viwili vikuwe chini ya ubao mwingine kwa kushikilia zile ndimi zake mbili.