Exodus 26:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 12 na upana wa mita 2. Mapazia hayo yawe ya kipimo kimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia yote yatatoshana kwa ukubwa: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; mapazia yote yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 12 na upana wa mita 2. Mapazia hayo yawe ya kipimo kimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia yote yatakuwa na ukubwa mmoja: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane na upana wa dhiraa nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia yote yatatoshana kwa ukubwa: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; mapazia yote yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila pazia litakuwa na urefu wa mita 12 na upana wa mita 2. Mapazia hayo yawe ya kipimo kimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu wa pazia moja uwe mikono ishirini na minane, nao upana wake uwe mikono minne; kila pazia moja liwe lenye kipimo hiki kimoja, kiwe cha mapazia yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa kila pazia utakuwa dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia utakuwa dhiraa nne; mapazia yote yatakuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila pazia litakuwa na urefu wa metre kumi na mbili na upana wa metre mbili. Mapazia hayo yakuwe ya kipimo kimoja.